ElPuto Jefe
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 5,286
- 19,463
Mchezo wa Kabadi ndo mchezo gani..?? Maana nimeusikia mara nyingi.mkuu c MTU wa mchezo mchezo
Mchezo wa Kabadi ndo mchezo gani..?? Maana nimeusikia mara nyingi.mkuu c MTU wa mchezo mchezo
Mara nyingi nafahamu umeshauona mchezo wa rugby mnatumia nguvu zote na maarifa kuufikisha mpira kwa wapinzani kuvuka mstari. Sasa kabadi unatakiwa utamie nguvu yako(wewe mwenyewe sio mpira) uuvuke/hataa uuguse kwa mkono mstari wa wapizani wakati wamejipanga wanakusubiri adui. Mchezo huu miaka mingi asili yake unachezwa na wahindiMchezo wa Kabadi ndo mchezo gani..?? Maana nimeusikia mara nyingi.
Mara nyingi nafahamu umeshauona mchezo wa rugby mnatumia nguvu zote na maarifa kuufikisha mpira kwa wapinzani kuvuka mstari. Sasa kabadi unatakiwa utamie nguvu yako(wewe mwenyewe sio mpira) uuvuke/hataa uuguse kwa mkono mstari wa wapizani wakati wamejipanga wanakusubiri adui. Mchezo huu miaka mingi asili yake unachezwa na wahindi
Wachache sana wanapenda michezoMara nyingi sana mchezo wa kabadi hujulikana na watu wachache sana
michezo mizuri si bora kuliko kazi mbayaWachache sana wanapenda michezo
Kazi mbaya duniani hakuna ili mradi unapata ujira wako, kazi ni kazimichezo mizuri si bora kuliko kazi mbaya
naheshimu mawazo yako pamoja na kazi yakoo piaKaZi yangu naiheshimu
Kimya mpaka njaa yaumaNaiheshim ndiomaana tangu asubuhi nilikua kimya
Kimya kikizidi usipoona dalili zozote, wahi kutoa taarifaNaiheshim ndiomaana tangu asubuhi nilikua kimya
Kimya mpaka njaa yauma
Pia amesema hatarudi atalala huko huko kwa mchepukonaheshimu mawazo yako pamoja na kazi yakoo pia
Pia amesema hatarudi atalala huko huko kwa mchepuko
Njia kuu barabarani ni mbali bora mpite na vichochoroMchepuko nihatari bora abaki njia kuu
vichochoro vya Zanzibar ni maarufu kwa kuuza madorianiNjia kuu barabarani ni mbali bora mpite na vichochoro
Madoriani ndo manini?vichochoro vya Zanzibar ni maarufu kwa kuuza madoriani
Watakukaba ukijipitisha na smartphone yako huku unatembea na kuchatVichochoro usipite ugumu wa noti vibaka watakukaba
Madoriani ndo manini?