Zuleykha
JF-Expert Member
- May 20, 2016
- 1,413
- 2,145
Kwenu ni pazuri haswa pale gardenGheto si safe bora ungetuma nyumban kwenu
Kwenu ni pazuri haswa pale gardenGheto si safe bora ungetuma nyumban kwenu
Garden nzuri iwe na matunzo bora, ufuatiaji na usimamiziKwenu ni pazuri haswa pale garden
Mbwa wetu sio wakali kivileKwenu tunaogopa mbwa
Jmn Aishah2016 njoo uchukue kadi shughul itakuwa MwanzaMwaliko sjapata mpk ss jmn
Mwanza kubwa hiyo, sehemu ganiJmn Aishah2016 njoo uchukue kadi shughul itakuwa Mwanza
Jmn Aishah2016 njoo uchukue kadi shughul itakuwa Mwanza
Mwanza na mimi nataka kuja mkuuJmn Aishah2016 njoo uchukue kadi shughul itakuwa Mwanza
Nanyinyi mkifika tu mnijulisheMwanza namimi nitajumuika nanyinyi
Mkuu ntakutumia kadi yako ujumuike nasiMwanza na mimi nataka kuja mkuu
Nasi bila hiana tutakuja na kufika kwa wakatiMkuu ntakutumia kadi yako ujumuike nasi
Wakati mnakuja, kumbukeni kubeba vinavyotakiwaNasi bila hiana tutakuja na kufika kwa wakati
Mwanza jmn mbali sana zuleykha ila Asante sana na ubarikiweJmn Aishah2016 njoo uchukue kadi shughul itakuwa Mwanza
Unyenyekevu wake mzr mpk nimempenda bureUbarikiwe sana kwa unyenyekevu
Bure hailipi kabisa bora angalau ulipe kiduchu.....Unyenyekevu wake mzr mpk nimempenda bure
Kiduchu ni dharau sana zamiluniBure hailipi kabisa bora angalau ulipe kiduchu.....
Mkuu ntakutumia kadi yako ujumuike nasi
Nyumbani siyo kila ajae ataruhusiwa.....Nitafurahi sana kujumuika na watu wa nyumbani
Zamiluni anakushangaa kwa kubadilisha picha zako, sijui wazitolea wapi...😛?Kiduchu ni dharau sana zamiluni
Nyumbani siyo kila ajae ataruhusiwa.....