Aishah2016
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 2,225
- 2,482
Wapi Zaid ya gallery mkuuZamiluni anakushangaa kwa kubadilisha picha zako, sijui wazitolea wapi...😛?
Wapi Zaid ya gallery mkuuZamiluni anakushangaa kwa kubadilisha picha zako, sijui wazitolea wapi...😛?
Ataruhusiwa yule mwenyemwaliko kama mimi

Vibajaji vinaingiza hela Kuliko pikipikiMm hunialiki team vibajaji![]()
Pikipiki zna save timeVibajaji vinaingiza hela Kuliko pikipiki
Pikipiki zna save time
Mm hunialiki team vibajaji![]()
Time is money..Pikipiki zna save time
Mwanza unaishi chato?Nitakualika pindi nikishafika Mwanza
Ndo raha ya mchezo Mkuu...Sasa hapa unatupeleka kwenye ki english kwakweli
Pikipiki ikiwa mpya ndo utakula vichwaVibajaji vinaingiza hela Kuliko pikipiki
Mwanza unaishi chato?
Mkuu humu watu wakiweka avatar inakaa muda mrefu kama ya Zamiluni mpaka ukiona avatar tu umeshamjua bila hata kuandika jinaWapi Zaid ya gallery mkuu
Vichwa ivi vinaharibu sheria za mchezo aiseePikipiki ikiwa mpya ndo utakula vichwa
Tena umesahau mara moja hii alipozaliwa rais wa nchiMwankulu ndo wapi tena
Mwankulu ndo wapi tena
Aisee mimi naona poa tu bora gurudumu linaenda kwa spidiVichwa ivi vinaharibu sheria za mchezo aisee
Mapangaboy ya feni au ndegeKwamkulu ndio chato kule panapo jengwa uwanja wa mapangaboy
Spidi 120 fyuuuuuuuuuAisee mimi naona poa tu bora gurudumu linaenda kwa spidi