Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Upepo mkali umevuma usiku wa leoMajahazi yanatia nanga endapo bahari imechafuka upepo mkali
Upepo mkali umevuma usiku wa leoMajahazi yanatia nanga endapo bahari imechafuka upepo mkali
Wasanii wengi siku hizi wanaimba nyimbo za mapenziPale anapoamua kuwatafutia KIKI baadhi ya wasanii
Leo ndiyo leo... Maana kuna mtu kapotea, halafu kuna maiti zimeokotwa mto Ruvu....Upepo mkali umevuma usiku wa leo
Usiku wa leo mkuu nimeota ndoto mbaya na nzuri, naruhusiwa kusimuliaUpepo mkali umevuma usiku wa leo
Mapenzi ndiyo kila kitu, na Kiba alishasema yana-RUN duniaWasanii wengi siku hizi wanaimba nyimbo za mapenzi
Mto ruvu maiti zimeshonewa kabisa kwenye gunia na kufungwa maweLeo ndiyo leo... Maana kuna mtu kapotea, halafu kuna maiti zimeokotwa mto Ruvu....
Dunia hii ina maajabu sana mtu yupo tayari kufanya kitu chochote kisa mwanamkeMapenzi ndiyo kila kitu, na Kiba alishasema yana-RUN dunia
Lusekelo ameshawatabiria kifo waliomchafua kwenye media na mitandaoDunia inamambo kama ya lusekelo
Lusekelo kasema watakufa waandishi wote walioandika juu ya tabia take ya ulevi, Anglia usiwe mmoja wao.Dunia inamambo kama ya lusekelo
Mitandao imekuwa si sehemu salama kwa watumiaji wanaoamini hisia Zhao Siku hizi. Si umeona tunamtafuta yule msaidizi wa Mbowe?Lusekelo ameshawatabiria kifo waliomchafua kwenye media na mitandao
Msaidizi wa Mbowe kaenda wapiMitandao imekuwa si sehemu salama kwa watumiaji wanaoamini hisia Zhao Siku hizi. Si umeona tunamtafuta yule msaidizi wa Mbowe?
Wapi pazuri kwa ajili ya kula sikuku ya x maxMsaidizi wa Mbowe kaenda wapi
X max ? Kwan hujapata kadi ya mwalikoWapi pazuri kwa ajili ya kula sikuku ya x max
Gheto si safe bora ungetuma nyumban kwenuXmas karibuni gheto
X max ? Kwan hujapata kadi ya mwaliko
Gheto si safe bora ungetuma nyumban kwenu