Mapangaboy ya feni au ndege
Ndege siku hiz zimekuwa biashar kubwa
Adimu mpaka kwenye mabus ya mkoaniBiashara kubwa sana ila nasikia abiria wamekua adimu
Adimu coz hali ni mbayaBiashara kubwa sana ila nasikia abiria wamekua adimu
Mbaya baniani lakini kiatu chake dawaAdimu coz hali ni mbaya
Adimu coz hali ni mbaya
Zimeahirishwa sababu ni ofisi za serikali na anco amebana mpaka kooMbaya kuliko mpaka nyimbo za x- mas mwaka huu hazisikiki au zimeahirishwa?
Faida ni kuisoma nambaZimeahirishwa kwa sababu hazina hata faida
Sasa ni saa ngapNamb za kirumi ndo tunasoma sasa
Sasa anachofanya raisi ni kutafuta sifa tu.Namb za kirumi ndo tunasoma sasa
Sifa tu hapana na mengine swez ya mentionSasa anachofanya raisi ni kutafuta sifa tu.
Usijali muda si mrefu ataanza kubadilika taratibuMention tuyajue tu wala usijali