Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Banaa acheni ubishiNimeshinda mimi banaaa
Banaa acheni ubishiNimeshinda mimi banaaa
Banaa suruali yako, isije kuvuka ukaibika kadamunasi....!!!😛Nimeshinda mimi banaaa
Mgeni usijali, penda wewe piaMno kuzid nini sakayo kumbe mimi hunipend kisa mgeni
Nimeshinda kwa kishindo kikubwa kwenye majimbo yote TanzaniaShetan hana nafasi .Mshindi ni mimi hakuna mpinzani, Wambuzi mi nimeshinda
Ubishi wa nini, usipoteze wakati na nguvu zako kwa walala hoi.....Banaa acheni ubishi
Walala hoi wanazidi kuongezeka kutokana na hali mbaya ya uchumiUbishi wa nini, usipoteze wakati na nguvu zako kwa walala hoi.....
Uchumi uchumi yote hayo ni danganya toto, Nchi ipo ktk kufilisika kimawazo.....!!Walala hoi wanazidi kuongezeka kutokana na hali mbaya ya uchumi
Uchumi umekuwa kwa 6% mpaka saba mwaka huuWalala hoi wanazidi kuongezeka kutokana na hali mbaya ya uchumi
huu ndiyo uchumi wa kat?Uchumi umekuwa kwa 6% mpaka saba mwaka huu
Kati ya mimi na wewe nani ni Mwanariadha hodari......????huu ndiyo uchumi wa kat?
Kati ya watanzania wanne eti mmoja ni kichaa kwa mujibu wa tafitihuu ndiyo uchumi wa kat?
hodari kuliko juma ikangaa na mathew suleiman?Kati ya mimi na wewe nani ni Mwanariadha hodari......????
Ssuleiman Kova namkumbuka sana nikisikia panyaroadhodari kuliko juma ikangaa na mathew suleiman?
Suleiman ndiyo aliyekuwa Nabii mwenye uwezo wakutawala kwa njia za upepo !!!hodari kuliko juma ikangaa na mathew suleiman?
upepo wa kusi na safari za majahazi.Suleiman ndiyo aliyekuwa Nabii mwenye uwezo wakutawala kwa njia za upepo !!!
Majahazi yanatia nanga endapo bahari imechafuka upepo mkaliupepo wa kusi na safari za majahazi.
Shilawadu ya quisa na soud brown ni umbea mtupu paleTafiti za doctor banana kama za shilawadu
Pale ni karibu na anapoishi mkuu wa nchiShilawadu ya quisa na soud brown ni umbea mtupu pale