Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Kabisa nilivyo muona kinyonga huyo sitalalaMkuu Jana sikuwa na usingizi kabisa
Kabisa nilivyo muona kinyonga huyo sitalalaMkuu Jana sikuwa na usingizi kabisa
Utani hakuna kabisa wewe umetukimbia hujarudi tenaMkuu naona bado mnapambana hamtak utani
Sitamani sababu alichopewa yeye na mimi nitapata panapo majaaliwaNimeridhika na hali yangu ya maisha, cha mtu sitamani
Mnofu wa nyama mtamuMkuu naogopa mnoo

majaaliwa yake rabuka ndiyo kila kitu.Sitamani sababu alichopewa yeye na mimi nitapata panapo majaaliwa
Kila kitu kunahitaji uvumilivu, usichokemajaaliwa yake rabuka ndiyo kila kitu.
Majaaliwa kama Mungu akipendaSitamani sababu alichopewa yeye na mimi nitapata panapo majaaliwa
Mtamu kweli au unasingiziaMnofu wa nyama mtamu![]()
Tena nimerudi kwa kasi ya ajabuUtani hakuna kabisa wewe umetukimbia hujarudi tena
usichoke kutafuta mpaka upate.Kila kitu kunahitaji uvumilivu, usichoke
Kila kitu ni mipango ya mungumajaaliwa yake rabuka ndiyo kila kitu.
Ajabu upo slow sana leoTena nimerudi kwa kasi ya ajabu
akipenda boga apende na ua lake.Majaaliwa kama Mungu akipenda
Upate unachotaka inshaallahusichoke kutafuta mpaka upate.
Upate unachotaka ni lazma kujikazausichoke kutafuta mpaka upate.
Upate ugali na maharage pembeniusichoke kutafuta mpaka upate.
Ajabu ni lipi hapa dunianiTena nimerudi kwa kasi ya ajabu
Unasingizia nn wee sakayoMtamu kweli au unasingizia
pembeni yake messi atakuwepo ronaldo.Upate ugali na maharage pembeni