ukhuty
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 16,885
- 42,002
Langu la roho kuna mtu kaniudhi kweli leoJirani yangu ninaishi nae kwa upendo, langu la kwake na lake yeye ni langu
Langu la roho kuna mtu kaniudhi kweli leoJirani yangu ninaishi nae kwa upendo, langu la kwake na lake yeye ni langu
Maadui tena jamanii, kulikoniNyinyi mmekuwa maadui
Nyinyi mnakimbia sana bwanaMwenzenu natembea spidi ndogo kuendana na nyinyi
Nyoka ana michezo yake, jana ITV habari taarifa za michezo alionyeshwa jamaa anavyomchezea nyoka huku akisema ametumia miaka 8 kumzoea nyoka, changamoto alishang'atwa mdomoni, kichwani amebaki na alamaMbali fimbo yake haiuwi nyoka
Nyoka wana sumu kaliMbali fimbo yake haiuwi nyoka
Bwana usiogope kutembe mwendo wa kinyongaNyinyi mnakimbia sana bwana
Leo nimemuona aliyekuudhi kule jukwaa pendwa la mahusiano, pole shogaaLangu la roho kuna mtu kaniudhi kweli leo
Wa kinyonga naweza ila nyie hamtabirikiBwana usiogope kutembe mwendo wa kinyonga
Kali ya mwaka huu inachekesha sana nikikumbukaNyoka wana sumu kali
Shoga ww acha tu kanitukana matusi ambayo sikutatajia kupewa matus Yale maish yangu yoteLeo nimemuona aliyekuudhi kule jukwaa pendwa la mahusiano, pole shogaa
Nikikumbuka hadi moyo unaniuma mwenzenuKali ya mwaka huu inachekesha sana nikikumbuka
Nikikumbuka sielewi hebu nikumbushe na mie nichekeKali ya mwaka huu inachekesha sana nikikumbuka
Mwenzenu mimi niko poa tu tena freshNikikumbuka hadi moyo unaniuma mwenzenu
Yote maisha mamy wala usijali kabisaaa, ni mambo madogo hata humjui ni kumdharau tu hana jipyaShoga ww acha tu kanitukana matusi ambayo sikutatajia kupewa matus Yale maish yangu yote
Mwenzenuu najua maumivu ya matusi ndo maana nakuwa makini saana na mawazo yangu, usijali bwanaNikikumbuka hadi moyo unaniuma mwenzenu