Huzuni ni mbaya sanaNicheke tu niondokane na huzuni
Ona kinyonga mkuu ni vigumu kumuona sababu anabadilika rangi, mfano akiwa kwenye majani ya kijani na yeye anakuwa wa kijaniKinyonga sijawahi muona
Huzuni sio nzuri, potezea mkuu sababu sio wote wanapenda uwe na furahaNicheke tu niondokane na huzuni
alama ambazo hatozisahau abadani.Nyoka ana michezo yake, jana ITV habari taarifa za michezo alionyeshwa jamaa anavyomchezea nyoka huku akisema ametumia miaka 8 kumzoea nyoka, changamoto alishang'atwa mdomoni, kichwani amebaki na alama
Mpenzi nshakusoma, uwe na amaniJipya tenge likiwa linasumbua kuvaa nimekuelewa mpenz
Abadani hasilani, siku hizi baadhi ya michezo inapoteaalama ambazo hatozisahau abadani.
Kijani wapi, acha kunitishaOna kinyonga mkuu ni vigumu kumuona sababu anabadilika rangi, mfano akiwa kwenye majani ya kijani na yeye anakuwa wa kijani
View attachment 445461
Amani ikipotea moyo hukosa furahaMpenzi nshakusoma, uwe na amani
Furaha unaitafuta MwenyeweHuzuni sio nzuri, potezea mkuu sababu sio wote wanapenda uwe na furaha
Furaha ni muhimu katika maishaAmani ikipotea moyo hukosa furaha
Nimeridhika kwa kila haliMwenyewe nimeridhika
mwenyewe hawezi kusimamia shughuli zake lazima atumie wasaidizi.Furaha unaitafuta Mwenyewe
Kunitisha wapi hapo, unaogopa kinyonga mkuuKijani wapi, acha kunitisha
Nimeridhika na hali yangu ya maisha, cha mtu sitamaniMwenyewe nimeridhika
Kunitisha wapi hapo, unaogopa kinyonga mkuu
Mkuu naogopa mnooKunitisha wapi hapo, unaogopa kinyonga mkuu