Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Ukhuty ni mtu mwenye busara Sanain sha allah kila la khair ukhuty.
Ukhuty ni mtu mwenye busara Sanain sha allah kila la khair ukhuty.
Mikono yote nimenyanyua juumpambane naye mpaka anyanyue mikono.
Juu kama kitu gnMikono yote nimenyanyua juu
Mwanangu umeenda mwenyewe umeshindwa hata kunipitia twende wote serengetiPembeni yangu niko na mwanangu
juu zaidi yake yeye.Mikono yote nimenyanyua juu
Gn ni lugha ganiJuu kama kitu gn
Mia moja kupata ngumu kwenye mtihani wa hesabuZaid ya asilimia Mia
Anyanyue mikono mapema kabla hajakabidhiwa ushindimpambane naye mpaka anyanyue mikono.
umemaanisha nini lilikuwa ni swali lililokosa jibu.Gani umemaanisha nini
Busara sana inahitajika ukiwa kwwnye kikao cha kusuluhisha tatizo, la sivyo unaweza kuondoka na kinyongo na chukiUkhuty ni mtu mwenye busara Sana
Nazipenda zaidi za kugawanyaHesabu huwa nazipenda sana
Kwakwel leo mko faster kama nn cjuiJibu nililikosa kwa kweli
Kugawanya halafu kuzidisha ndio utaratibu wa magazijutoNazipenda zaidi za kugawanya
Jibu unaeza kubaliwa au kukataliwaumemaanisha nini lilikuwa ni swali lililokosa jibu.
Kugawanya Ni rahisiNazipenda zaidi za kugawanya
Kukataliwa kunaumaJibu unaeza kubaliwa au kukataliwa