Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Pembeni pawepo na mboga za majaniUpate ugali na maharage pembeni
Pembeni pawepo na mboga za majaniUpate ugali na maharage pembeni
Ua lake linavutia na kunukia vizuri kama asumin na waridiakipenda boga apende na ua lake.
in sha allah kila la khair ukhuty.Upate unachotaka inshaallah
Pembeni yangu niko na mwananguUpate ugali na maharage pembeni
Inshallah nakutakia kila la heriUpate unachotaka inshaallah
waridi wa mambo hayo amepotea kwenye fani.Ua lake linavutia na kunukia vizuri kama asumin na waridi
Ukhty Ni msichana mcheshiin sha allah kila la khair ukhuty.
Waridi linanukia vizurUa lake linavutia na kunukia vizuri kama asumin na waridi
Sakayo nimechoka mie ngoja niwaachie mpambaneUnasingizia nn wee sakayo
Ronaldo kapiga chenga nyingi mpaka golipembeni yake messi atakuwepo ronaldo.
Heri minallahInshallah nakutakia kila la heri
Bure yaani na mie nakupenda zaidiSakayo nakupenda bure
Fan yangu naipenda sanawaridi wa mambo hayo amepotea kwenye fani.
Majani producer zamani wa bongo recordPembeni pawepo na mboga za majani
mpambane naye mpaka anyanyue mikono.Sakayo nimechoka mie ngoja niwaachie mpambane
Zaid ya asilimia MiaBure yaani na mie nakupenda zaidi
Ukhuty tafsiri yake kwa kiswahili ni dadain sha allah kila la khair ukhuty.
goli la mkono kama la maradona.Ronaldo kapiga chenga nyingi mpaka goli