Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Uipendayo wewe mie nitakunywa tuuIpi uipendayo
Uipendayo wewe mie nitakunywa tuuIpi uipendayo
Wakubwa kama mimi mtu mzimaPesp wankunywa wakubwa
Kuutafuta nimeutafuta sanaUmepotea tena jaribu kuutafuta
Mavuno mengi ukitumia kilimo cha kisasaMkulima stadi hupata mavuno mengi
Sprite utapata tena ya baridiIpi tena zaidi ya pepsi au sprite
Siku hiyo mvua ilikuwa kubwa saanaMengi maji yalijaa siku hiyo
Ya baridi hapo ndo ugonjwa wangu yaniSprite utapata tena ya baridi
Mtu mzima waogopa pinguuWakubwa kama mimi mtu mzima
Wakubwa wamekimbiaPesp wankunywa wakubwa
Siku hizi kila mtu anajifanya anajua kumbe takwimu alizotoa amekoseaKisasa ndo mpango siku hizi
Yaani wew acha tuYa baridi hapo ndo ugonjwa wangu yani
Kero yetu kubwa hapa jijini ni wamachingaSan yani hadi ilikuwa kero
naogopa kuaibika mbele za watu.Pinguu hata Mimi naogopa
Naogopa kukutana nae uso kwa usoPinguu hata Mimi naogopa
Yaani hata mie najua, haya karibu soda rafikiYa baridi hapo ndo ugonjwa wangu yani
Wewe acha tu mkuu siku hiyo itakuwa hapatoshi full mzukaYaani wew acha tu