Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Amekosea halafu hataki kuambiwaSiku hizi kila mtu anajifanya anajua kumbe takwimu alizotoa amekosea
Amekosea halafu hataki kuambiwaSiku hizi kila mtu anajifanya anajua kumbe takwimu alizotoa amekosea
Uso kwa uso walionanNaogopa kukutana nae uso kwa uso
Watu bwananaogopa kuaibika mbele za watu.
Rafiki japo nipo mbali, kuchat inatuweka karibu na hapa nilipoYaani hata mie najua, haya karibu soda rafiki
Bwana mie nimechoka mwenzenuuWatu bwana
Dhiki inakwenda ikaisha, sababu wahenga walisema baada ya dhiki farajaRafiki mnafiki ni adui wa zako dhiki
Mwenzenu mniacheBwana mie nimechoka mwenzenuu
Nilipo umejuaje ni mbali, nipo mlango wa jiraniRafiki japo nipo mbali, kuchat inatuweka karibu na hapa nilipo
Mbali kuliko mimiNilipo Mimi ni mbali
Faraja yangu naiona haiko mbaliDhiki inakwenda ikaisha, sababu wahenga walisema baada ya dhiki faraja
Mwenzenu natembea spidi ndogo kuendana na nyinyiBwana mie nimechoka mwenzenuu
Dhiki ni changamotoFaraja huja baada ya dhiki
Jirani yangu ninaishi nae kwa upendo, langu la kwake na lake yeye ni languNilipo umejuaje ni mbali, nipo mlango wa jirani
Mbali fimbo yake haiuwi nyokaFaraja yangu naiona haiko mbali
Langu ni langu dunia ya sasa sio ya kuaminianaJirani yangu ninaishi nae kwa upendo, langu la kwake na lake yeye ni langu
Langu chaguo lakeJirani yangu ninaishi nae kwa upendo, langu la kwake na lake yeye ni langu