Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Maziwa ya unga auWake za watu ni sumu ila vijana wa siku hizi wanajifanya wana maziwa
Maziwa ya unga auWake za watu ni sumu ila vijana wa siku hizi wanajifanya wana maziwa
Yangu nimeisahau mahaliUtakumbuka maneno yangu
Hayupo kaenda wapiAmpendaye kwa dhati hayupo
Chakula kitamu ule nyumbani sio hoteliniChumvi ni kiungio muhimu kwenye chakula
Vigumu kumtenda akupendaeKawaida inakuwa mazoea na baadae kuacha ni vigumu
Mahali alipokuwa anamsubiri kila siku ikifika saa 2 usiku ni chini ya mwembeYangu nimeisahau mahali
Anamaliza tenaa, ngastukaaWavumilivu wapo wachache aiku hizi ukilianzisha mwenzako anamaliza
Akupendae hawezi kukuacha ukateseka daimaVigumu kumtenda akupendae
Mwembe ule ulishakatwaMahali alipokuwa anamsubiri kila siku ikifika saa 2 usiku ni chini ya mwembe
Daima nitazidi kumlindaAkupendae hawezi kukuacha ukateseka daima
Mbivu zaweza kuozaWavumilivu ndo wala mbivu
Ulishakatwa katwa kwa kuni na kujengewa tanuri la mkaaMwembe ule ulishakatwa
Mkaa wa mwembe ni mwepesiUlishakatwa katwa kwa kuni na kujengewa tanuri la mkaa
Kumlinda ndo upendo wenyewe, fadhila ya upendo ni upendo. Wema hauozi bali ni hazinaDaima nitazidi kumlinda
Kuoza kwa samaki usimtupe, mtafutie chungu umbanike mkuuMbivu zaweza kuoza
Hazina hutunzwa na mtu mwenye utuKumlinda ndo upendo wenyewe, fadhila ya upendo ni upendo. Wema hauozi bali ni hazina
Hazina ya mtu haipoteiKumlinda ndo upendo wenyewe, fadhila ya upendo ni upendo. Wema hauozi bali ni hazina
Mwepesi sana kulia, yani jambo dogo tu tena la kusikia anaanza kulia na kumnyamzisha kwake ni shughuliMkaa wa mwembe ni mwepesi