supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Machungu ya maisha na kudharaulika kumemfanya afike hapo alipoAnazipenda maana ndo muda wa kusahau machungu
Machungu ya maisha na kudharaulika kumemfanya afike hapo alipoAnazipenda maana ndo muda wa kusahau machungu
Starehe zina gharamaMtu anazipenda raha lakini kwa sababu alizaliwa katika familia ya kawaida inabidi atumie muda mwingi kujijenga badala ya starehe
Hapo alipo ni kwa neema za MunguMachungu ya maisha na kudharaulika kumemfanya afike hapo alipo
gharama lakini ukijituma utaona kawaida.Starehe zina gharama
Mwangu mie sijawahi ila pole shostMachungu n ishawahi pata maishani mwangu
Mungu hamtupi mja wakeHapo alipo ni kwa neema za Mungu
Kawaida kwa mwanaume kumhudumia ampendaegharama lakini ukijituma utaona kawaida.
Gharama ya muda na pesa unayotumia katika starehe kuna kipindi utakumbukaStarehe zina gharama
Wake za watu ni sumu ila vijana wa siku hizi wanajifanya wana maziwaMungu hamtupi mja wake
Ampendaye kwa dhati hayupoKawaida kwa mwanaume kumhudumia ampendae
Wake za watu ni wavumilivuMungu hamtupi mja wake
Kawaida inakuwa mazoea na baadae kuacha ni vigumugharama lakini ukijituma utaona kawaida.
Wavumilivu ndo wala mbivuWake za watu ni wavumilivu
Maziwa ya unga ni mazuri lakini bora kutumia maziwa ya ng'ombeWake za watu ni sumu ila vijana wa siku hizi wanajifanya wana maziwa
Utakumbuka utakapokosa hata ya kununua chumviGharama ya muda na pesa unayotumia katika starehe kuna kipindi utakumbuka
Wavumilivu wapo wachache siku hizi ukilianzisha mwenzako anamalizaWake za watu ni wavumilivu