supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Mkuu ni miaka mingi iliyopita, inapendeza mtu asiekuheshimu na kukuthamini ukamuacha kama alivyoFundisho ulilipata kweli,pole mkuu
Mkuu ni miaka mingi iliyopita, inapendeza mtu asiekuheshimu na kukuthamini ukamuacha kama alivyoFundisho ulilipata kweli,pole mkuu
Mabondeni kunaweza patwa na mafurikomvua ni habari mbaya kwa waishio mabondeni.
Mabondeni maji yanajaa na mitaro inaziba mpaka nyumba zinazama vitu vya ndani vinaharibika na vingine kusombwa na majimvua ni habari mbaya kwa waishio mabondeni.
Mwaka huu tumeisoma nambaMvua zimepungua sana mwaka huu
Kama alivyo ukimuacha bila kumsamehe haipendeziMkuu ni miaka mingi iliyopita, inapendeza mtu asiekuheshimu na kukuthamini ukamuacha kama alivyo
Maji yakiwa mengi ni hatariMabondeni maji yanajaa na mitaro inaziba mpaka nyumba zinazama vitu vya ndani vinaharibika na vingine kusombwa na maji
Haipendezi kumvunjia mtu heshima kisa ameamua kuwa simple kwakoKama alivyo ukimuacha bila kumsamehe haipendezi
Namba ipi hukuielewaMwaka huu tumeisoma namba
Hatari sana ukinywa maji mengi unaweza kuwa kama reyMaji yakiwa mengi ni hatari
Elewa hapa nazungumzia namba za kirumiNamba ipi hukuielewa
Mwaka huu tunzo ya muigizaji bora wa kiume EATV amepata Gabo zigamba na hata tunzo za zanzibarRey alitoa kali ya mwaka
Naipenda sana boti mpya ya kilimanjaroZanzibar naipenda sana
Kwako wewe ni ngumu kumsamehe lakini ndo adhabu toshaHaipendezi kumvunjia mtu heshima kisa ameamua kuwa simple kwako
sana kama ray anavyopenda maji.Zanzibar naipenda sana
Adhabu tosha namsamehe kila mtuKwako wewe ni ngumu kumsamehe lakini ndo adhabu tosha
tosha sana ila inauma acha tu.Kwako wewe ni ngumu kumsamehe lakini ndo adhabu tosha
Maji ya kuchemsha siku hizi hatunywi kama kupiga mswaki mara tatu kwa sikusana kama ray anavyopenda maji.