Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Juice ya apple ni tamu sanaHarusi yenyewe ya soda na juice
Juice ya apple ni tamu sanaHarusi yenyewe ya soda na juice
Mtamu kama waandaaji wana ujuziMsosi ukipikwa vizur unakuwa mtamu
Kamati inatumia pesa nyingi kwenye harusi kuliko uwezo wa bwana harusi. Kama vipi hizo pesa wapewe wanandoa wakaanzie maishaInategemea maandalizi ya wana kamati
Ujuzi wa harusi upo kwenye chakula kizuri, maandalizi na mpangilio pamoja na MC mzuriMtamu kama waandaaji wana ujuzi
Maisha wakaanze wenyewe ili waone ugumu wakeKamati inatumia pesa nyingi kwenye harusi kuliko uwezo wa bwana harusi. Kama vipi hizo pesa wapewe wanandoa wakaanzie maisha
Ugumu wake upo na ni kawaida tu mtavumiliana kama mmependana kweli kwa shida na rahaMaisha wakaanze wenyewe ili waone ugumu wake
Mc mzuri anafanya sherehe ipendezeUjuzi wa harusi upo kwenye chakula kizuri, maandalizi na mpangilio pamoja na MC mzuri
Raha huja mwishoni, ila shida sasa ndo usisemeUgumu wake upo na ni kawaida tu mtavumiliana kama mmependana kweli kwa shida na raha
Sherehe ipendeze kwa steji iliyopambwa vizuri na viti pamoja na kila mtu aweze kupata chakula kwa wageni na waalikwaMc mzuri anafanya sherehe ipendeze
Raha kila mtu anazipendaUgumu wake upo na ni kawaida tu mtavumiliana kama mmependana kweli kwa shida na raha
Waalikwa wengine huingia bila kadiSherehe ipendeze kwa steji iliyopambwa vizuri na viti pamoja na kila mtu aweze kupata chakula kwa wageni na waalikwa
anazipenda raha sawa lakini kwa usawa huu lazima amenyeke.Raha kila mtu anazipenda
Usiseme hivyo, unajua kabisa hata yeye anakupenda na hapendi mke wake upate shidaRaha huja mwishoni, ila shida sasa ndo usiseme
Anazipenda maana ndo muda wa kusahau machunguRaha kila mtu anazipenda
Mtu anazipenda raha lakini kwa sababu alizaliwa katika familia ya kawaida inabidi atumie muda mwingi kujijenga badala ya stareheRaha kila mtu anazipenda
Shida hazikwepeki ila naamini ananipenda sanaUsiseme hivyo, unajua kabisa hata yeye anakupenda na hapendi mke wake upate shida
Amenyeke kweli kweli tenaanazipenda raha sawa lakini kwa usawa huu lazima amenyeke.
Machungu yanaumiza moyo