shughuli pevu imeanza epl kwa pep.Mwepesi sana kulia, yani jambo dogo tu tena la kusikia anaanza kulia na kumnyamzisha kwake ni shughuli
Utu wangu ndo thamani yangu, nitaendelea kuwa na heshima kwa wakubwa na wadogoHazina hutunzwa na mtu mwenye utu
Shughuli kweli kweliMwepesi sana kulia, yani jambo dogo tu tena la kusikia anaanza kulia na kumnyamzisha kwake ni shughuli
Wadogo wanapenda kupendwaUtu wangu ndo thamani yangu, nitaendelea kuwa na heshima kwa wakubwa na wadogo
Pep kazi itamshinda man city asipokuwa makinishughuli pevu imeanza epl kwa pep.
Mimi napenda kupendwaShughul huwa sizipendi mimi
Makini Joe ni mwanamuzikiPep kazi itamshinda man city asipokuwa makini
Mimi niliwahi kualikwa wakati naishi sehemu fulani nikapata aibu, basi nilikaa miaka mitatu sikuhudhuria shughuli ya mtu yoyote mpaka walipokaa wazee wa kijiji na kualikwa sherehe zote zilizofuata kama mgeni rasmi ikawa fundishoShughul huwa sizipendi mimi
Juu angani kuna mawinguMakin ni kuwa na uangalifu wa kitu wa hali ya juu
Kupendwa ndio huku, kupendwa kuheshimiwaWadogo wanapenda kupendwa
Kuheshimiwa kuna raha yakeKupendwa ndio huku, kupendwa kuheshimiwa
Mwanamuziki huyu ameimba perfect combo na chidinma, nyimbo za chidinma ninazozipenda ni oh baby na fell in love nzuri sana kama alivyo yeyeMakini Joe ni mwanamuziki
Fundisho ulilipata kweli,pole mkuuMimi niliwahi kualikwa wakati naishi sehemu fulani nikapa aibu, basi nilikaa miaka mitatu sikuhudhuria shughuli ya mtu yoyote mpaka walipokaa wazee wa kijiji na kualikwa sherehe zote zilizofuata kama mgeni rasmi ikawa fundisho
Mawingu yakifunga ni dalili ya mvuaJuu angani kuna mawingu
mvua ni habari mbaya kwa waishio mabondeni.Mawingu yakifunga ni dalili ya mvua
Yeye anaimba vizuri mnoMwanamuziki huyu ameimba perfect combo na chidinma, nyimbo za chidinma ninazozipenda ni oh baby na fell in love nzuri sana kama alivyo yeye
Mvua zimepungua sana mwaka huuMawingu yakifunga ni dalili ya mvua