Aishah2016
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 2,225
- 2,482
Paka shume hasaa, kuna mtu hataki kabisa stori za mapanya mpaka amekimbia kwa hofu
Hofu yangu ni kuzeeka
Paka shume hasaa, kuna mtu hataki kabisa stori za mapanya mpaka amekimbia kwa hofu
Panya wengine hutawaona watakimbia hata kama wapo 100 na paka mmojaWatu 100 au panya mia mkuu, ukimuweka mmoja kelebu ya nguvu hakika panya wengine hutawaona
Mganga tena jamanii, we ndo umemaliza mchezooHofu ya nini mtoto wa kiume, usiogope mtu hata kama huna nguvu za kutosha kupambana nae, ukishindwa kabisa unaweza kumroga kwa mganga![]()
Hofu yangu ni kuzeeka
Kuzeeka ni lazimaHofu yangu ni kuzeeka
Mchezo huu hautaki hasiraMganga tena jamanii, we ndo umemaliza mchezoo
Mmoja tu anatosha kuwaondoa panya wootePanya wengine hutawaona watakimbia hata kama wapo 100 na paka mmoja
Malengo yako utayafikia tu mkuu usihofu kidogo kidogo utaona mabadiliko, kuzeeka lazima sasa wewe kila siku unataka kuwa kijanaKuzeeka Bila kufikia malengo
First lady itabidi uwe mke wa pili wa mheshimiwaMalengo yangu ni kuwa first lady![]()
Hasira ukiwa nayo lazima ujijibu mwenyeweMchezo huu hautaki hasira
Kijana nataka nisizeeke yaan forever youngMalengo yako utayafikia tu mkuu usihofu kidogo kidogo utaona mabadiliko, kuzeeka lazima sasa wewe kila siku unataka kuwa kijana
Wote wamepigwa na butwaa kumuona mtu waliyomdharau sasa hivi amefanikiwa na kuwa tajiriMmoja tu anatosha kuwaondoa panya woote
First lady utakuwa tu endapo utampata mwanasiasa anayechipukaMalengo yangu ni kuwa first lady![]()
Kijana, anayetumia ujana wake vizuri utafurahi zaid uzeeniMalengo yako utayafikia tu mkuu usihofu kidogo kidogo utaona mabadiliko, kuzeeka lazima sasa wewe kila siku unataka kuwa kijana
Anayechipuka kama mchicha auFirst lady utakuwa tu endapo utampata mwanasiasa anayechipuka
Young girl uzee lazima na uschana utapoteza mvuto na uremboKijana nataka nisizeeke yaan forever young
Urembo wenyew ushapoteaYoung girl uzee lazima na uschana utapoteza mvuto na urembo
Tajiri kuliko mkuu wa nchiWote wamepigwa na butwaa kumuona mtu waliyomdharau sasa hivi amefanikiwa na kuwa tajiri
Au kijana mchanga kwenye siasaAnayechipuka kama mchicha au