Jina lako mwenyewe unalichafua kwa kutafuta kikiSkendo zinakuza jina
Mujini kuna wachakachuaji wa kinamna.....Kiki siku hizi ndo habari ya mujini
Mujini mipangoKiki siku hizi ndo habari ya mujini
Kiki zina faida gani hivi, maana sielewagiJina lako mwenyewe unalichafua kwa kutafuta kiki
Mchuzi nitaulia ugaliNyama mbichi simletei, namletea nyama ya kukaanga na mchuzi
Kinamna kama hutakuwa mjanja lazma ulizweMujini kuna wachakachuaji wa kinamna.....
Ugali na bamia na samaki wa kukaanga wee wacha bwanaMchuzi nitaulia ugali
Utajuta ukikutana na tapeliUlizwe na watoto wa mujini mbon utajuta
Utajuta kuja mjiniUlizwe na watoto wa mujini mbon utajuta
Bwana eeh acha kunitamanishaUgali na bamia na samaki wa kukaanga wee wacha bwana
Mjini pagumuUtajuta kuja mjini
Ukalime ufaidi jasho lakoPagumu rudi shamba ukalime