ukhuty
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 16,885
- 42,002
Fitna hatoiona pepoHeri kuishi na mchawi kuliko fitina
Fitna hatoiona pepoHeri kuishi na mchawi kuliko fitina
Mgongo hautaweza kusimama tenaUzee huo unaouzungumzia ni wa kujikongoja mdogo mdogo na fimbo huku umepinda mgongo
Kabisa yaani bado hajafungwaRufaa? Mm nilidhan kashafungwa kabisa![]()
Heri kuishi na mchawi kuliko fitina
Unaniuma karibu na mabega, hebu mjukuu wangu kaniletee mafuta ya nazi chini karibu ya mfumbati wa kitandaMgongo wangu unaniuma
Fitina ni mbaya sanaHeri kuishi na mchawi kuliko fitina
Hivyo ndo itakavyokuwa mpaka uzee wanguUlivyo mzuri hivyo
Hasidi wa roho za watu,pia anashutumiwa kutembea na waume za watu. Fisadi kiwembeFitina rafiki yake ni hasidi

Kusimama tena imara baada ya kuanguka ni ujasiriMgongo hautaweza kusimama tena
Kitanda chenyewe sikielewi, sijui ni kibovu auUnaniuma karibu na mabega, hebu mjukuu wangu kaniletee mafuta ya nazi chini karibu ya mfumbati wa kitanda
Mbaya sana kumnyima mtu dhamana kwa ndoto ukawaacha majangiliFitina ni mbaya sana
Wangu usijali zaidi ya kuupenda mwili wako na kuutunza kwa vyakula, mboga, matunda na mazoeziHivyo ndo itakavyokuwa mpaka uzee wangu
Mazoezi nayapenda sana hasa wakati wa jioniWangu usijali zaidi ya kuupenda mwili wako na kuutunza kwa vyakula, mboga, matunda na mazoezi
Wangu wa maishaHivyo ndo itakavyokuwa mpaka uzee wangu
Ujasiri ni hali ya kujiaminiKusimama tena imara baada ya kuanguka ni ujasiri
Jioni ya Leo nitakwenda mollMazoezi nayapenda sana hasa wakati wa jioni
Kweli vipo ila vya taabu kuvipataKiwembe aina topaz kipo kweli
Majangili wa faru JoniMbaya sana kumnyima mtu dhamana kwa ndoto ukawaacha majangili