Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Kubwa lao limejinyongo baada ya kuzingirwa....Sanaa yaani nimepata hasara kubwa
Kubwa lao limejinyongo baada ya kuzingirwa....Sanaa yaani nimepata hasara kubwa
Naogopa kutembelea uswahilini bila kuwa na swahiba......Kuzingirwa na mapolisi huwa naogopa
Swahiba nipo mwayaa nitakutembeza utakapoNaogopa kutembelea uswahilini bila kuwa na swahiba......
swahiba awe barubaru kweli maana anaweza kimbia muziki wa panya road.Naogopa kutembelea uswahilini bila kuwa na swahiba......
Panya road kitu gani mkuu, kijitoto cha miaka 17 kweli kinizingue mimiswahiba awe barubaru kweli maana anaweza kimbia muziki wa panya road.
Mimi Mwenyewe nashangaa kweeli mtu mzima kuogopa panyaPanya road kitu gani mkuu, kijitoto cha miaka 17 kweli kinizingue mimi
Kamwe usithubutu kuogopa panya hata kama hujapitia mafunzoMimi niliepitia jkt ziwezi kuogopa kamwe
mimi nilisema haya lakini yakikukuta wakiwa 40 ndiyo utajua ubaya wao.Panya road kitu gani mkuu, kijitoto cha miaka 17 kweli kinizingue mimi
Wao hata wakiwa mia hawawezi nitisha bwanamimi nilisema haya lakini yakikukuta wakiwa 40 ndiyo utajua ubaya wao.
Nyingine zipi sasa wewe ndo uzilete au ndo kusema una hofu mpaka hutaki stori za mapanya jamaniBwana kwanza hawapo sikuhizi tuzungumzie inshu nyingine
Bwana wewe, idadi inamata... huwezi kuwa na mtu mmoja halafu matokei yawe sawa na kuwa na watu 100Wao hata wakiwa mia hawawezi nitisha bwana
Jamani wao wakijiita panya na wewe jiite pakaNyingine zipi sasa wewe ndo uzilete au ndo kusema una hofu mpaka hutaki stori za mapanya jamani
Watu 100 wapi mkuu wakati ni vitoto 100, upande mwingine nakubaliana na wewe umoja ni nguvuBwana wewe, idadi inamata... huwezi kuwa na mtu mmoja halafu matokei yawe sawa na kuwa na watu 100
Paka shume hasaa, kuna mtu hataki kabisa stori za mapanya mpaka amekimbia kwa hofuJamani wao wakijiita panya na wewe jiite paka
Watu 100 au panya mia mkuu, ukimuweka mmoja kelebu ya nguvu hakika panya wengine hutawaonaBwana wewe, idadi inamata... huwezi kuwa na mtu mmoja halafu matokei yawe sawa na kuwa na watu 100
Hofu ya nini mtoto wa kiume, usiogope mtu hata kama huna nguvu za kutosha kupambana nae, ukishindwa kabisa unaweza kumroga kwa mgangaPaka shume hasaa, kuna mtu hataki kabisa stori za mapanya mpaka amekimbia kwa hofu
