Aishah2016
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 2,225
- 2,482
Kipekee kabisa hakuna wakumshindanisha naye
Naye pia alichaguliwa kuwa mkuu wa mkoa
Kipekee kabisa hakuna wakumshindanisha naye
Maendeleo haya haya ya Jamii auMkoa wetu ni wenye maendeleo
Unaonaje nije kutoa posa kwenu.....????Au unaonaje
Anayekutamani ni yule mwari wa nyumbani.....Nimeshaolewa sio neno zuri kumwambia anayekutamani
Nyumbani kwetu ni uswahili kweliAnayekutamani ni yule mwari wa nyumbani.....
Anayekutamani ni yule mwari wa nyumbani.....
Anayekutamani uyo hakupendiNimeshaolewa sio neno zuri kumwambia anayekutamani
Kweli vile nimeolewaNyumbani kwetu ni uswahili kweli
Unaonaje nije kutoa posa kwenu.....????
Mbwa mkali anapewa nyama tu usigope mkuuNyumban Kuna mbwa mkali

Mkuu mbwa wetu hali nyama mbichiMbwa mkali anapewa nyama tu usigope mkuu![]()
Fulani hana sifa au mtaje tumjueMkuu mbwa mkali anang'ata halafu wanapenda sifa kama wasanii fulani
Nyama mbichi simletei, namletea nyama ya kukaanga na mchuziMkuu mbwa wetu hali nyama mbichi
Tumjue hapa hapa tumwambie ajiepushe na skendoFulani hana sifa au mtaje tumjue