Mola humpa amtakae na humnyima amtake huo ndiyo upendeleo...Wajukuu ni baraka yake Mola
Upendeleo wa timu yenu kila siku mnashinda nyinyi wakati hamtufikii kwa vipaji na uwezoMola humpa amtakae na humnyima amtake huo ndiyo upendeleo...
Utoto raha sana, nalikumbuka hilo jinaUpendo lilikuwa jina langu la utoto
Upendeleo Mola hana, kama hujapata jua siku yako badoMola humpa amtakae na humnyima amtake huo ndiyo upendeleo...
Bado nazisaka rafiki, usijali najiandaa kulipa madeniUpendeleo Mola hana, kama hujapata jua siku yako bado
Bado sijakuona ulipojificha, Bora nizidi kukutafuta mchana huu kweupe..!!Upendeleo Mola hana, kama hujapata jua siku yako bado
Jina ambalo lilinipa umaarufu kijijin kwetuUtoto raha sana, nalikumbuka hilo jina
Kweupe kumepambazuka lakini hataki tuende shamba kupalilia na kuchuma mchichaBado sijakuona ulipojificha, Bora nizidi kukutafuta mchana huu kweupe..!!
Madeni kila mtu anayo sema tunalipa kidogo kidogoBado nazisaka rafiki, usijali najiandaa kulipa madeni
Kweupe lakinii huwezi nionaBado sijakuona ulipojificha, Bora nizidi kukutafuta mchana huu kweupe..!!
Mchicha ni mboga tamu ukiichanganya na nyamaaKweupe kumepambazuka lakini hataki tuende shamba kupalilia na kuchuma mchicha
Kidogo kidogo ndio mwendo japo raha ya deni ni kulipa, sababu mwenda pole hajikwai maneno ya wahenga.Madeni kila mtu anayo sema tunalipa kidogo kidogo
Nionavyo mie kwa kutumia jicho la tatu, nitapata taarifa zako zote bila upungufu....Kweupe lakinii huwezi niona
Kijijini kwetu watu hawalali njaa sababu ya matunda, mboga, mahindi na mihogoJina ambalo lilinipa umaarufu kijijin kwetu
Wahenga walinena mengi sana, kama vile alive juu mngoje chiniKidogo kidogo ndio mwendo japo raha ya deni ni kulipa, sababu mwenda pole hajikwai maneno ya wahenga.
Upungufu utakuwepo ila ukitaka kujua ukweli niulize mimi MwenyeweNionavyo mie kwa kutumia jicho la tatu, nitapata taarifa zako zote bila upungufu....
Chini ya mchungwa nimeokota embeWahenga walinena mengi sana, kama vile alive juu mngoje chini
Mihogo yakukaanga ni mitamu ukila na pili piliKijijini kwetu watu hawalali njaa sababu ya matunda, mboga, mahindi na mihogo