supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Upungufu wa bidhaa umetufanya tumekunywa chai bila sukariNionavyo mie kwa kutumia jicho la tatu, nitapata taarifa zako zote bila upungufu....
Upungufu wa bidhaa umetufanya tumekunywa chai bila sukariNionavyo mie kwa kutumia jicho la tatu, nitapata taarifa zako zote bila upungufu....
Embe tena, mbona hayoo ni maajabuChini ya mchungwa nimeokota embe
Pilipili kachumbari na chumviMihogo yakukaanga ni mitamu ukila na pili pili
Sukari hutokana na miwaUpungufu wa bidhaa umetufanya tumekunywa chai bila sukari
Chumvii nyingine hazina madini jotoPilipili kachumbari na chumvi
Sukari hutokana na miwa
Maajabu yangeanza kwenye mche wa mlimao kuunga na mchungwa halafu watu wakavuna machungwaEmbe tena, mbona hayoo ni maajabu
Chumvi hupatikana ziwa nyasaPilipili kachumbari na chumvi
Joto limepungua dar aiku hizi naskia mchana pia kuna baridiChumvii nyingine hazina madini joto
Machungwa mengine ni machachu ,jamani kwa heriniMaajabu yangeanza kwenye mche wa mlimao kuunga na mchungwa halafu watu wakavuna machungwa
Ziwa Nyasa limtuumbua baada ya kuwa tumelala usingizi miyongo kadha.....Chumvi hupatikana ziwa nyasa
Chumvii nyingine hazina madini joto
Ziwa nyasa na hata ufukweni mwa bahari mnaweza kuchemsha maji mkapata chumvi freshChumvi hupatikana ziwa nyasa
Kupungua kwa joto na mvua siyo unafuu wa gharama za masiha.....haliipo palepaleJoto limepungua kias na mvua kupungua
Kwa herini unaenda kufua nguoMachungwa mengine ni machachu ,jamani kwa herini
Kwa herini unaenda kufua nguo
Sana sana ntazipeleka kwa dobi haruna.....Nguo zmechafuka sana
Dobi haruna kwani akimaliza kufua anazipiga pasi?Sana sana ntazipeleka kwa dobi haruna.....
Pasi anayoitumia ni ya umeme na fani ya ujuzi wake ni ya kipekee.....Dobi haruna kwani akimaliza kufua anazipiga pasi?