Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Mboga walimwaga wapinzani lakini chama tawala hawakumwaga ugali ndo sasa tunakula....Karot hutumika kama kiungo kwenye mboga
Mboga walimwaga wapinzani lakini chama tawala hawakumwaga ugali ndo sasa tunakula....Karot hutumika kama kiungo kwenye mboga
Wadogo wengi hawataitambua Penpal na urafiki wa barua.....Miaka ishirini nyuma nilikuwa napenda kuchat kwa email messenger ya yahoo na hotmail zamani kidogo wengi wenu mlikuwa wadogo
Wadogo wapi wewee, tumechat sana sema umenisahau tuMiaka ishirini nyuma nilikuwa napenda kuchat kwa email messenger ya yahoo na hotmail zamani kidogo wengi wenu mlikuwa wadogo
Tunakula kwa kutumia mboga ile ile tuliyomwagaMboga walimwaga wapinzani lakini chama tawala hawakumwaga ugali ndo sasa tunakula....
Barua nyingi zinaanza na salam sana ama baada ya salamu, mimi mzima wa afya hofu kwako uliembali na upeo wa macho yanguWadogo wengi hawataitambua Penpal na urafiki wa barua.....
Macho yangu hayaoni usikuBarua nyingi zinaanza na salam sana ama baada ya salamu, mimi mzima wa afya hofu kwako uliembali na upeo wa macho yangu
Tulikuwa pamoja karibu karibu urafiki wetu tangu zamani, si unajua tena utu uzima, nimekukumbuka sasaWadogo wapi wewee, tumechat sana sema umenisahau tu
Usiku usipoweza kuona, nakuomba uende hospitali maana hiyo ni ishara ya upofu wa nadhari....Macho yangu hayaoni usiku
Usiku kuna giza, ila paka na poponundu wanaweza kuona usiku kwenye gizaMacho yangu hayaoni usiku
Sasa ndo ujue mie mzee mwenzakoTulikuwa pamoja karibu karibu urafiki wetu tangu zamani, si unajua tena utu uzima, nimekukumbuka sasa
Usiku usipoweza kuona, nakuomba uende hospitali maana hiyo ni ishara ya upofu wa nadhari....
Sasa hivi kuna joto kweli unaeza tamani usitoke nje...ukae tu ndani unapulizwa na ACTulikuwa pamoja karibu karibu urafiki wetu tangu zamani, si unajua tena utu uzima, nimekukumbuka sasa
Nadhari tena, huwa navaa miwani inapobidiUsiku usipoweza kuona, nakuomba uende hospitali maana hiyo ni ishara ya upofu wa nadhari....
AC na feni hakuna Arusha kwenye nyumba nyingi za kulalia wageniSasa hivi kuna joto kweli unaeza tamani usitoke nje...ukae tu ndani unapulizwa na AC
Giza likiwa totoro lazima utumie tochi tena yenye mwanga mkaliUsiku kuna giza, ila paka na poponundu wanaweza kuona usiku kwenye giza
Upendo lilikuwa jina langu la utotoNadhari yangu ni kwamba ww ni mtu mwenye upendo
Upendo wangu huwa naukodisha kwa gharama nafuu inayokubalika !!!Nadhari yangu ni kwamba ww ni mtu mwenye upendo
Mwenzako nipo mbali kwa sasa nina wajukuuSasa ndo ujue mie mzee mwenzako
Inayokubalika ni bei ganiUpendo wangu huwa naukodisha kwa gharama nafuu inayokubalika !!!
Wajukuu mie bado sijapata ila naamini wapo watakujaMwenzako nipo mbali kwa sasa nina wajukuu