Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Pembeni ya jiko kwa ajili ya kupikiaVigogo viwekwe ndani ya fuso na kuni zitengwe pembeni
Pembeni ya jiko kwa ajili ya kupikiaVigogo viwekwe ndani ya fuso na kuni zitengwe pembeni
Kupika chakula jikoni ni shughuli nzito, japo wanaume huchukulia mzaha.....Pembeni ya jiko kwa ajili ya kupikia
Utaifa mbele ndo tutafanikiwaPembeni tuweke ubinafsi la umuhimu ni uzalendo mbele ikifuatiwa na utaifa...
Kimya ni hali ya kutozungumzaBinafsi niliamua kutozungumza chochote pale na kukaa kimya
Mzaha mzaha hutumbua usaha, ni maneno ya wahengaKupika chakula jikoni ni shughuli nzito, japo wanaume huchukulia mzaha.....
Wahenga walisema mchumia juani hulia kivuliniMzaha mzaha hutumbua usaha, ni maneno ya wahenga
Kivulini ni moja jirani na nyumbaniWahenga walisema mchumia juani hulia kivulini
Nyumbani kwetu kuna machungwaKivulini ni moja jirani na nyumbani
Machungwa ni matunda tunayolima kwa wingi huku TangaNyumbani kwetu kuna machungwa
Nyumbani kwetu kuna machungwa
Tanga wilaya ya muheza na korogwe yanapatikana kwa wingiMachungwa ni matunda tunayolima kwa wingi huku Tanga
Machungwa ni matunda tunayolima kwa wingi huku Tanga
Vitamin c pia hupatikana kwenye mboga za majaniMachungwa yanaongeza vitamin c
Vitamun C zaidi pia utapata kwenye karotMachungwa yanaongeza vitamin c
Wingi wa matunda ndo umenifanya niwe na ngozi nyororoTanga wilaya ya muheza na korogwe yanapatikana kwa wingi
Mkongwe nimezeeka nakaribia miaka 50 sasa umri umekwendaTanga ni mji mkongwe
Mkongwe sababu kuna mapango auTanga ni mji mkongwe
Umekwenda kweli ila una speed kuliko kijana wa miaka ishiriniMkongwe nimezeeka nakaribia miaka 50 sasa umri umekwenda
Karot hutumika kama kiungo kwenye mbogaVitamun C zaidi pia utapata kwenye karot
Miaka ishirini nyuma nilikuwa napenda kuchat kwa email messenger ya yahoo na hotmail zamani kidogo wengi wenu mlikuwa wadogoUmekwenda kweli ila una speed kuliko kijana wa miaka ishirini