atug
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 2,821
- 3,618
Wanaojitambua na kujua wanataka niniKapakimbia maana humu kuna watu makini na wanaojitambua !!!
Wanaojitambua na kujua wanataka niniKapakimbia maana humu kuna watu makini na wanaojitambua !!!
Nini kilikusibu best mpaka ulipotea sana mkuuWanaojitambua na kujua wanataka nini
Mkuu Supa, nilikuwa na msiba wa officemate best wangu hapa kazini.....Nini kilikusibu best mpaka ulipotea sana mkuu
Kazini kwenu wote kwa ujumla poleni sana na msibaMkuu Supa, nilikuwa na msiba wa officemate best wangu hapa kazini.....
Msiba ni jambo litamgusa kila kiumbe, Hivyo tufarijiane na tuwe wepesi kulikabili......Kazini kwenu wote kwa ujumla poleni sana na msiba
Kulikabili jambo lolote linahitaji subiraMsiba ni jambo litamgusa kila kiumbe, Hivyo tufarijiane na tuwe wepesi kulikabili......
Subira ndiyo ufunguo wa faraja na uponyi wa maumivu......Kulikabili jambo lolote linahitaji subira
Maumivu yakizidi muone daktariSubira ndiyo ufunguo wa faraja na uponyi wa maumivu......
Daktari Tabibu, ndiyo bingwa wa upasuaji pale hospitali ya rufaa......Maumivu yakizidi muone daktari
Rufaa ya Mheshimiwa ilikataliwa na mahakamaDaktari Tabibu, ndiyo bingwa wa upasuaji pale hospitali ya rufaa......
Mahakama zote duniani kuna ucheleweshaji wa kusikiliza kesi.....Rufaa ya Mheshimiwa ilikataliwa na mahakama
Mahakama ni chombo kinachotafsiri sheriaRufaa ya Mheshimiwa ilikataliwa na mahakama
Sheria ifuate mkondo wake bila kushawishiwa na vigogo.....Mahakama ni chombo kinachotafsiri sheria
Mkuu nilikuwa busy kuna mambo nilikuwa nafuatilia wizara moja hiviNini kilikusibu best mpaka ulipotea sana mkuu
Vigogo nao wako chini ya sheria za nchiSheria ifuate mkondo wake bila kushawishiwa na vigogo.....
Vigogo viwekwe ndani ya fuso na kuni zitengwe pembeniSheria ifuate mkondo wake bila kushawishiwa na vigogo.....
Vigogo wenyewe wanafanya mambo kwa maslahi binafsiSheria ifuate mkondo wake bila kushawishiwa na vigogo.....
Binafsi sijui kama kuna anaejali maslahi ya mwingine miaka hiiVigogo wenyewe wanafanya mambo kwa maslahi binafsi
Binafsi niliamua kutozungumza chochote pale na kukaa kimyaVigogo wenyewe wanafanya mambo kwa maslahi binafsi
Pembeni tuweke ubinafsi la umuhimu ni uzalendo mbele ikifuatiwa na utaifa...Vigogo viwekwe ndani ya fuso na kuni zitengwe pembeni