Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,268
Vijana wengi maono hawanaAfya ni mtaji wa kwanza kwenu nyinyi vijana..
Vijana wengi maono hawanaAfya ni mtaji wa kwanza kwenu nyinyi vijana..
Hawana kwa sababu hawajajengwa kwenye mambo ya maono zaidiVijana wengi maono hawana
zaidi ya yote wengi ulalama badala ya kujituma.Hawana kwa sababu hawajajengwa kwenye mambo ya maono zaidi
Kujituma ndo msingi wa mafanikio yako na ya jamiizaidi ya yote wengi ulalama badala ya kujituma.
Jamii inajianda kwa sherehe za Maulid day na sherehe za Christmas huu mwezi.....Kujituma ndo msingi wa mafanikio yako na ya jamii
Mwezi wa mwisho katika mwaka...Jamii inajianda kwa sherehe za Maulid day na sherehe za Christmas huu mwezi.....
Mwaka mpya 2017... WaTZ tuongezee juhudi za kujikomboa.....Mwezi wa mwisho katika mwaka...
Kujikomboa inawezekana kama tutajitumaMwaka mpya 2017... WaTZ tuongezee juhudi za kujikomboa.....
Tutajituma na kuwajibika haswa, ila serikali nayo iakidi malipo stahili.....Kujikomboa inawezekana kama tutajituma
Stahili yetu tutapata tuuTutajituma na kuwajibika haswa, ila serikali nayo iakidi malipo stahili.....
Tutapata tuu endapo uchumi utakuwaStahili yetu tutapata tuu
Utakuwa tufanye kazi na tuwe na subiraTutapata tuu endapo uchumi utakuwa
Subira inahitajika ktk mfumo mzima wa maisha.. Laa sivyo itakula kwako !!Utakuwa tufanye kazi na tuwe na subira
kwako haitokuwa tatizo bali kwa wanaokutegemea.Subira inahitajika ktk mfumo mzima wa maisha.. Laa sivyo itakula kwako !!
Wanaokutegemea walishajianda yani muda wowote wapo tayarikwako haitokuwa tatizo bali kwa wanaokutegemea.
Wanaokutegemea kwa mchango wa harusi hawajakata tamaa....kwako haitokuwa tatizo bali kwa wanaokutegemea.
Tayari nimesharudi ndg. SMaket nipo mtandaoni....Wanaokutegemea walishajianda yani muda wowote wapo tayari
mtandaoni pamekuwa pagumu mpaka zito kapakimbia.Tayari nimesharudi ndg. SMaket nipo mtandaoni....
Kapakimbia maana humu kuna watu makini na wanaojitambua !!!mtandaoni pamekuwa pagumu mpaka zito kapakimbia.
wanaojitambua wapo ila pia wasiojitambua wamejaa.Kapakimbia maana humu kuna watu makini na wanaojitambua !!!