supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Huku nipo karibu na upeo wa machoWako wapi njooni huku
Huku nipo karibu na upeo wa machoWako wapi njooni huku
Wapendwa leo mimi nitakuwa wa mwisho.Inshaallah wapendwa
Tope likizidi kwenye barabara njia haipitiki kwa vyombo vya moto kama gari na pikipikiMwisho wa maji ni tope
Boxer zipo nyingi dar kuliko bodaboda za toyo na kinglionPikipiki yangu aina ya boxer
Kinglion wanasema hazina uboraBoxer zipo nyingi dar kuliko bodaboda za toyo na kinglion
Ubora utoke wapi, Mmeamkaje bandungu natumaini mu wazima wa afyaKinglion wanasema hazina ubora
Afya ni mtaji wa kwanza kwenu nyinyi vijana..Ubora utoke wapi, Mmeamkaje bandungu natumaini mu wazima wa afya