Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,268
Boga ni tamu ukiliwezea mapishiWewe unakulaga boga
Boga ni tamu ukiliwezea mapishiWewe unakulaga boga
Mapishi ni namna ya kupika maakuliBoga ni tamu ukiliwezea mapishi
Sana wew watesa roho yangu kwa uzuri wakoBoga huwa nalipenda sana
Sana hasa likipikwa na naziBoga huwa nalipenda sana
Wako kwenye kikaoSana wew watesa roho yangu kwa uzuri wako
Tanga ndiko nyumbaniNazi zinapatikana kwa wingi tanga
Nyumbani kuna wageniNyumbani ni nyumbani
Wageni wapo mezani wanakula chakulaNyumbani kuna wageni
Wote nawapendaWageni wa siku hizi wakifka kwako cha kwanza wanaulizia chaji ya smartphone kabla ya maji, shikamooni wageni wote
Kweli vile sikudanganyi muulize hata jiraniHiyo tabia si nzuri kwa kweli