Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Atakalo ni kutumbua majipuLabda hataki upinzani afanyd atakalo
Atakalo ni kutumbua majipuLabda hataki upinzani afanyd atakalo
Haswa umenena vyemaMathematics ndilo somo langu haswa
Aka ukhuty umrembo balaaLabda yeye mie aka
Leo ni jumamosiUsiku umeingia mapema leo
Nje kuna mvua leoAka usiku sitoki nje
Haswa ukiwa na mwalimu makiniMathematics ndilo somo langu haswa
Vyema mrembo najaHaswa umenena vyema
Naja na rafiki yanguVyema mrembo naja
Kukusalimia tu unataka nikutoe!Naja na mume wangu Leo kukusalimia
Kukusalimia na kukujulia haliNaja na mume wangu Leo kukusalimia
Yang macho mieNaja na rafiki yangu
Mie naanza kusinziaYang macho mie
Nikutoe nikupeleke wapiKukusalimia tu unataka nikutoe!
Kusinzia darasani ni uzembeMie naanza kusinzia
Wapi ntapata mahali pa kupumzikaNikutoe nikupeleke wapi
Uzembe wako wa kwenda shule ukiwa umeshibaKusinzia darasani ni uzembe
Umeshiba boga weweUzembe wako wa kwenda shule ukiwa umeshiba
Kupumzika kupo ni hela yako tuWapi ntapata mahali pa kupumzika
Wewe unakulaga bogaUmeshiba boga wewe