Aishah2016
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 2,225
- 2,482
Kidedea ni mchezo wa zmn ulikuwa unaoneshwa itv cjui mnaukumbukaMwisho tutafika tu na Mimi nitaibuka kidedea
Kidedea ni mchezo wa zmn ulikuwa unaoneshwa itv cjui mnaukumbukaMwisho tutafika tu na Mimi nitaibuka kidedea
Binafsi sidhani kama juhudi pekee inatosha pasipo kujengewa mazingiraUshindi upo kinachohitajika ni juhudi binafsi
Huko waweza kabwa na vibakaUsirudi kwani kwenu huko
Mwisho tutafika tu icemanMkuu lengo lenu nn hasa!!?,maana kwa uzi huu hamtafika mwisho
Mfano uliohai tunataka
Upewe wapi mpaka wakubwa washibeWakubwa wakiongea mtoto unatakiwa ukae kimya na hata ukila nao hutakiwi kula nyama mpaka upewe
Mwingine uanzishe weweTunataka kuanzisha uzi mwingine
Mwisho wake tumjue nani bingwa, karibu uianze weekend freshMkuu lengo lenu nn hasa!!?,maana kwa uzi huu hamtafika mwisho
Mwisho ndo tunaukaribiaMkuu lengo lenu nn hasa!!?,maana kwa uzi huu hamtafika mwisho
Kidedea ulikuwa mchezo wa kuigizaMwisho tutafika tu na Mimi nitaibuka kidedea
Kula ipi unayomaanishaKwanza ndo wameanza tu kula
Mazingira umejengewa na wazazi kwa uwezo wao mpaka walipo kufikisha, ni muda wako kupambanaBinafsi sidhani kama juhudi pekee inatosha pasipo kujengewa mazingira
Tunakaribia kileleniMwisho ndo tunaukaribia
Iceman kumbe ni jinaMwisho tutafika tu iceman
Kula nn mkuu akat tumeshibaKwanza ndo wameanza tu kula
Kileleni bado mi ndio kwanza naanzaTunakaribia kileleni