Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Naanza kuchoka sasaKileleni bado mi ndio kwanza naanza
Naanza kuchoka sasaKileleni bado mi ndio kwanza naanza
Ndugu yangu wa damu kwa mama mwingineMimi wewe ni ndugu
Kilimanjaro ni mlima mrefu AfrikaKileleni kule mlima Kilimanjaro
Sasa usijali nimekuja kukupokeaNaanza kuchoka sasa
Sasa unachoka nn je ukilima cndo utakufa kabisa ss huku gezaulole tunalima mpk sura znatushukaNaanza kuchoka sasa

Njaa ikizidi kwa muda mrefu bila kula kitu chochote tumboni unaweza kupata vidondaTumeshiba wewe na nani, mie nina njaa
Mimi siwezi waona wote kwa pamojaIceman 3D jembe sana huyo mtu, ukimuona yeye ujue umeniona mimi
Mwingine akija lazima tumtimueNdugu yangu wa damu kwa mama mwingine
Sasa hivi ni saa mbili kasoro huku kwetuNaanza kuchoka sasa
Tumtimue ande wapi?Mwingine akija lazima tumtimue
Pamoja tunalisongesha gurudumuMimi siwezi waona wote kwa pamoja
Pamoja tunawezaMimi siwezi waona wote kwa pamoja
Hali yako supermarketKukomoana na kutiliana fitina mwisho wa siku aibu na tutashindwa kujuliana hali
Tunaweza kufanya jambo kubwaPamoja tunaweza
Kwetu saa tatu kasoro yani tumewapita saa nzima juu juuSasa hivi ni saa mbili kasoro huku kwetu
Ule nini sasa jamani, sijapikaNjaa inakuuma njoo kwangu ule
Kwetu kuna fumanizi la kukata na shokaSasa hivi ni saa mbili kasoro huku kwetu