Iceman 3D jembe sana huyo mtu, ukimuona yeye ujue umeniona mimiMwisho tutafika tu iceman
Kupambana ni muhimu hasa zama hiziMazingira umejengewa na wazazi kwa uwezo wao mpaka walipo kufikisha, ni muda wako kupambana
Au ndo vidole vyauma kwa kubofyaTunaukaribia kweli au
Kuigiza unashida au unaumwa huku hauumwi ni kazi kubwaKidedea ulikuwa mchezo wa kuigiza
Iceman 3D jembe sana huyo mtu, ukimuona yeye ujue umeniona mimi
Unayomaanisha wewe ni ya msosi auKula ipi unayomaanisha
Naanza mdogo mdogo katika ya safari nachanganya mbioKileleni bado mi ndio kwanza naanza
Mimi wewe ni nduguIceman 3D jembe sana huyo mtu, ukimuona yeye ujue umeniona mimi
Hizi mambo za kulaumiana so nzuriKupambana ni muhimu hasa zama hizi
Kupambana huku ni kukomoanaMazingira umejengewa na wazazi kwa uwezo wao mpaka walipo kufikisha, ni muda wako kupambana
Mimi wewe ni nduguIceman 3D jembe sana huyo mtu, ukimuona yeye ujue umeniona mimi
Hi ndo mwanzo wa salamuMm mwenyew nitawatafuta kuwapa hi
Kileleni kule mlima Kilimanjaro
Kileleni tena, mbona wanitishaTunakaribia kileleni
Kukomoana kwa staili hiyo hapanaKupambana huku ni kukomoana
Tumeshiba wewe na nani, mie nina njaaKula nn mkuu akat tumeshiba
Kazi kubwa sanaKuigiza unashida au unaumwa huku hauumwi ni kazi kubwa
mm siwez kwakwel labda scene za kula tuKukomoana na kutiliana fitina mwisho wa siku aibu na tutashindwa kujuliana haliKupambana huku ni kukomoana