Huko nishatoka nkaambiwa cna vigezoMtongani twende nikupeleke kwa huyo mzee kama unataka kampan ya kupelekwa huko

Huko huko na Mimi nitakujaMtongani twende nikupeleke kwa huyo mzee kama unataka kampan ya kupelekwa huko
Ndizi ya kuchoma ukila na parachichi ni tamu sanaUmejichubua ukawa ka ndizi ya kuchoma
Unasinzia mapema yote hiiNaona kama unasinzia
Naona mbali kwa darubini kaliPia Mimi naona
Huko unaweza usirudiMtongani twende nikupeleke kwa huyo mzee kama unataka kampan ya kupelekwa huko
Usirudi kwani kwenu hukoHuko unaweza usirudi
Wakubwa wakiongea mtoto unatakiwa ukae kimya na hata ukila nao hutakiwi kula nyama mpaka upeweHii mida ni ya wakubwa
Mbuzi ya kukunia nazi au yule anayezaaKali Kama pilipili mbuzi
Mbuzi ntama yake ya kuchoma sijaona mfanoKali Kama pilipili mbuzi
Upewe ukingojea upewe ciutakeshaWakubwa wakiongea mtoto unatakiwa ukae kimya na hata ukila nao hutakiwi kula nyama mpaka upewe
Mkuu lengo lenu nn hasa!!?,maana kwa uzi huu hamtafika mwishoUpewe nini mkuu