ukhuty
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 16,885
- 42,002
Zijazo mwakan inshaallahMvua hizo zitaanza wiki chache zijazo
Zijazo mwakan inshaallahMvua hizo zitaanza wiki chache zijazo
Hakidanganyi ila sikiamini sanaKabisa mkuu kioo hakidanganyi
Ukapodoka salome hiyo michezo ya jogooHakidanganyi mama umejipodoa ukapodoka

Mpini tena, imekuwajeAdimu sana yeye kuonekana tangu kipindi kile limeungua shoka likabaki mpini![]()
Imekuwaje hamli chakulaMpini tena, imekuwaje
Ukapodoka au umejichubuaHakidanganyi mama umejipodoa ukapodoka
Sana hata Mimi piaHakidanganyi ila sikiamini sana
Sana sana kioo cha site mirror cha gari au pikipiki ukijiangalia unaweza kusema sio weweHakidanganyi ila sikiamini sana
Hupati kwa sababu ganiHujitumi na maendeleo hupati
Umejichubua ukawa ka ndizi ya kuchomaUkapodoka au umejichubua
Tena Kuna mzee anawafanyia interview wanawake ili aoe anapatikana huko mtonganiImekuwaje tena
Sio wewe au sio mimiSana sana kioo cha site mirror cha gari au pikipiki ukijiangalia unaweza kusema sio wewe
Mtongani twende nikupeleke kwa huyo mzee kama unataka kampan ya kupelekwa hukoTena Kuna mzee anawafanyia interview wanawake ili aoe anapatikana huko mtongani
Naona kama unasinziaPia Mimi naona
Ndizi ya kuchoma, kukaanga na ndizi nyama za kupikwa mimi hoiUmejichubua ukawa ka ndizi ya kuchoma