Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Aishah20172016 ndo inaisha ivyo
Aishah20172016 ndo inaisha ivyo
2017 mungu atusaidie tuioneAishah2017
Kwa uwezo wake tutafika. Amen2017 mungu atusaidie tuione
Tuione sote Amin, mipango mipya na mafanikio zaidi2017 mungu atusaidie tuione
Zaid afya bora ndo muhimuTuione sote Amin, mipango mipya na mafanikio zaidi
Ushindi upo kinachohitajika ni juhudi binafsiAmejengewa mazingira ya ushindi?
Muhimu kujitathmini mwaka huu unaoisha, umefanya kipi cha maana zaidi ili pale ulipoteleza upate kujipangaZaid afya bora ndo muhimu
Utii wa sheria upo palepale hata kama wewe ni kiongozi au tajiri mwenye pesaJuhudi na maarifa huongeza utii
Kujipanga upyaMuhimu kujitathmini mwaka huu unaoisha, umefanya kipi cha maana zaidi ili pale ulipoteleza upate kujipanga
Utii ni heshimaJuhudi na maarifa huongeza utii
Heshima kwa wazazi na mwalimuUtii ni heshima
Namkumbuka alikuwa mtu mzima kidogo yupo safi na alikuwa hapendi kuchapa sana fimboMwalimu wangu wa biology namkumbuka
Fimbo tumechapwa sana adavanceNamkumbuka alikuwa mtu mzima kidogo yupo safi na alikuwa hapendi kuchapa sana fimbo
Mimi nilikuwa najiheshimu sana nilikuwa najiskia noma sana kuchapwa mbele ya mademuFimbo sizipendi mashuleni mimi

Adavance umekosea maandishi shogaFimbo tumechapwa sana adavance