supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Mola ametupa akili, tutafakari na kuchukua hatuaWasiwasi wa nini kwenye hii dunia ya Mola
Mola ametupa akili, tutafakari na kuchukua hatuaWasiwasi wa nini kwenye hii dunia ya Mola
Jioni utafika kutegemea sehemu unayokwendaMbali sana kwenda mikoani kwa kutumia mabus siku hizi hata upande mapema vipi unafika usiku au jioni
Mababu zetu walifanya kazi ngumu kwa ujira mdogo sana mpaka inaumaWazungu sio watu wema, waliwatesa sana mababu zetu
Hatua moja huanzisha safariMola ametupa akili, tutafakari na kuchukua hatua
Mteremko ukiwa mkali na breki zikikataa unaweza kupata ajaliKasi ya nini wakati ni mteremko
Unayokwenda mfano Arusha unaweza kuchukua zaidi ya masaa 12 kwa sasaJioni utafika kutegemea sehemu unayokwenda
Inauma sana mpaka nikiwaona natamani niwapige maweMababu zetu walifanya kazi ngumu kwa ujira mdogo sana mpaka inauma
Inauma zaidi walivyokuwa wanachinjwa kama kukuMababu zetu walifanya kazi ngumu kwa ujira mdogo sana mpaka inauma
Safari ya mapenzi mpaka ndoa ina misukosuko mingi na maumivuHatua moja huanzisha safari
Ajali husababisha vifo au ulemavu wa kudumuMteremko ukiwa mkali na breki zikikataa unaweza kupata ajali
Kwa sasa unaweza kutumia usafiri wa ndegeUnayokwenda mfano Arusha unaweza kuchukua zaidi ya masaa 12 kwa sasa
Mawe hayauzwi ni wewe tu mtaka cha mvunguniInauma sana mpaka nikiwaona natamani niwapige mawe
Kuku wa kienyeji wana mifupa migumu huwezi kuvunja kwa menoInauma zaidi walivyokuwa wanachinjwa kama kuku
Mvunguni ni chini mwa kitandaMawe hayauzwi ni wewe tu mtaka cha mvunguni
Kitanda urefu ambao wengi wetu tunatumia ni futi sita kwa sita hata madukani ndo size ya magodoroMvunguni ni chini mwa kitanda
Meno yakiwa imara mbona unavunjaKuku wa kienyeji wana mifupa migumu huwezi kuvunja kwa meno
Imara kusimama na kujiamini, siku hizi kama huwezi kujitetea hakuna atakae kuonea hurumaMeno yangu Ni imara
Imara kwa kuwa unatumia ColgateMeno yangu Ni imara