Muwa ni mtamu hasa wakati wa jua kaliMeli ya titanic nahodha alikuwa anawaangalia kina Leonardo de caprio na nahodha wa kitabu cha darasa la pili meli ilizamishwa kwa utamu wa muwa
Utu na wema wako ni hazina ya baadae. Kuna wakati utahitaji msaada na jirani atakusaidia kwa moyo mmoja na kukuokoa wakati linazama jahaziRohombaya sio utu
Baraka zote hutoka kwa MolaHaki ya mtu haipotei, hata kama ameshafariki au ni mgonjwa. Mali ya dhulma haina baraka
Chuki nichukie roho yangu niachieRohombaya haijengi nyumba, undugu wala urafiki, sana sana moyo unaungua na unafuga hasira na chuki
Haya ndo maisha tuliyoyazoeaChuki za nini maisha yenyewe mafupi haya
Niachie mimi hiyo kesi kwangu ni ndogo kama kumsukuma mleviChuki nichukie roho yangu niachie
Mtukufu aliyeziumba mbingu na nchiMola wetu mtukufu
Jua kali wakati wa kuchuma lakini utakuja kula ukiwa kivuliniMuwa ni mtamu hasa wakati wa jua kali
Kumsukuma mlevi ni kama kumuongezea mbioNiachie mimi hiyo kesi kwangu ni ndogo kama kumsukuma mlevi
Haya yote yamesababishwa na uoga na wasiwasiChuki za nini maisha yenyewe mafupi haya
Jahazi hupita juu ya majiUtu na wema wako ni hazina ya baadae. Kuna wakati utahitaji msaada na jirani atakusaidia kwa moyo mmoja na kukuokoa wakati linazama jahazi
Mbio za baiskeli kwenye mteremko hakuna haja kufunga breki kali wala kuendesha kwa kasiKumsukuma mlevi ni kama kumuongezea mbio
Kivulini huwa na kaubaridi ka mbaaaliJua kali wakati wa kuchuma lakini utakuja kula ukiwa kivulini
Wasiwasi wa nini kwenye hii dunia ya MolaHaya yote yamesababishwa na uoga na wasiwasi
Nchi za Africa zinahitaji tena kuwa makoloni ya wazunguMtukufu aliyeziumba mbingu na nchi
Kasi ya nini wakati ni mteremkoMbio za baiskeli kwenye mteremko hakuna haja kufunga breki kali wala kuendesha kwa kasi
Wazungu sio watu wema, waliwatesa sana mababu zetuNchi za Africa zinahitaji tena kuwa makoloni ya wazungu
Mbali sana kwenda mikoani kwa kutumia mabus siku hizi hata upande mapema vipi unafika usiku au jioniKivulini huwa na kaubaridi ka mbaaali