Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Magodoro mazuri ni magodoro dodomaKitanda urefu ambao wengi wetu tunatumia ni futi sita kwa sita hata madukani ndo size ya magodoro
Magodoro mazuri ni magodoro dodomaKitanda urefu ambao wengi wetu tunatumia ni futi sita kwa sita hata madukani ndo size ya magodoro
Unavunja labda kuku wa kizungu wa kisasa hata ukitaka kuitafuna na kumeza mifupaMeno yakiwa imara mbona unavunja
Imara sababu yana ubora wa hali ya juuMagodoro dodoma ni imara
Huruma ipo kama na wewe una huruma kwa wengineImara kusimama na kujiamini, siku hizi kama huwezi kujitetea hakuna atakae kuonea huruma
Colgate herbal ni nzuri sababu ya miti shambaImara kwa kuwa unatumia Colgate
Mifupa ni mifupa tuu hata iwe ya dagaaUnavunja labda kuku wa kizungu wa kisasa hata ukitaka kuitafuna na kumeza mifupa
Mleta mada atajuta kuuanzisha huu uziMpaka hapa tukubali kurudisha ushindi kwa mleta mada

Zabibu hutumika kutengenezea mvinyoDodoma ndipo kunakolimwa zabibu
Zabibu ni dawa na tiba hasa kwa wanaumeDodoma ndipo kunakolimwa zabibu
Mleta mada ni WambuziMpaka hapa tukubali kurudisha ushindi kwa mleta mada
Hali ya juu ya mlima kilimanjaro inabadilika kila unavyozidi kuupanda, ni vyema kupata ushauri wa daktari kablaImara sababu yana ubora wa hali ya juu
Shamba letu lina mahindi machangaColgate herbal ni nzuri sababu ya miti shamba
Wambuzi ndo nini
Uzi wenyewe ushanichoshaMleta mada atajuta kuuanzisha huu uzi![]()