supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Yoyote kwa nini, au umeumizwa na kutendwa mkuuSimtamani mtu yoyoye
Yoyote kwa nini, au umeumizwa na kutendwa mkuuSimtamani mtu yoyoye
Fursa nyingine ni changamotoInakufa kidogo kidogo huku unaona, wakati mwingine unaweza kujaribu aina nyingine ya fursa
Utatuangamiza sababu hatutaki kukubali matokeo, mtu yupo radhi hata kulia kilio cha uongo na hata kutorokaUbishi ndo utatuangamiza
Mkuu kwetu ni Dada ake mamaYoyote kwa nini, au umeumizwa na kutendwa mkuu
Nyingi sana kama una mtajiFursa zipo nyingi sana
Changamoto ni nyingi mnooFursa nyingine ni changamoto
Mkuu wa nchi leo amehutubia kwenye sherehe za uhuruYoyote kwa nini, au umeumizwa na kutendwa mkuu
Changamoto zipo kila sehemu, kwa kila mtu. Iwe ni mfanyabiashara, mzazi, mwanafunzi, mkulima, mwanandoa, tajiri au maskiniFursa nyingine ni changamoto
Kutoroka wapiUtatuangamiza sababu hatutaki kukubali matokeo, mtu yupo radhi hata kulia kilio cha uongo na hata kutoroka
Mnoo kulingana na mazingira uliyomoChangamoto ni nyingi mnoo
Meli ya titanic nahodha alikuwa anawaangalia kina Leonardo de caprio na nahodha wa kitabu cha darasa la pili meli ilizamishwa kwa utamu wa muwaMsichana mrembo alizamisha meli
Maskini hana hakiChangamoto zipo kila sehemu, kwa kila mtu. Iwe ni mfanyabiashara, mzazi, mwanafunzi, mkulima, mwanandoa, tajiri au maskini
Au wa taifa letuUhuru wa nchi yetu au
Mtaji ni vigumu kukopeshwa na rafiki au ndugu hatakama anazo pesa sababu ya rohombayaNyingi sana kama una mtaji
Rohombaya sio utuMtaji ni vigumu kukopeshwa na rafiki au ndugu hatakama anazo pesa sababu ya rohombaya
Haki ya mtu haipotei, hata kama ameshafariki au ni mgonjwa. Mali ya dhulma haina barakaMaskini hana haki
Rohombaya haijengi nyumba, undugu wala urafiki, sana sana moyo unaungua na unafuga hasira na chukiRoho mbaya haijengi