supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Una huruma kwa wengine hata majirani wako wa karibu wanakusifia na mmoja mmoja muda huu ameniambiaHuruma ipo kama na wewe una huruma kwa wengine
Una huruma kwa wengine hata majirani wako wa karibu wanakusifia na mmoja mmoja muda huu ameniambiaHuruma ipo kama na wewe una huruma kwa wengine
Kabla hujapanda uwe na uhakika wa afya yakoHali ya juu ya mlima kilimanjaro inabadilika kila unavyozidi kuupanda, ni vyema kupata ushauri wa daktari kabla
Dagaa mifupa laini, lakini wa kuku wa kienyeji huvunji tena hasa pajaMifupa ni mifupa tuu hata iwe ya dagaa
Nini ni id ya muanzisha uziWambuzi ndo nini
Mada ipi alileta
Mada yenyewe haiishiWambuzi ndiye mleta mada
Alileta wa mwisho ndo mshindi, halafu yeye haonekani tenaMada ipi alileta
Uzi ukiujulia mtamu sana huuNini ni id ya muanzisha uzi
Ushindi bongo vigumu bila rushwaHii tunayo hangaikia ushindi
Huu ndo mwisho wa uziUzi ukiujulia mtamu sana huu
Uzi wa mwisho ndio huuHuu ndo mwisho wa uzi
Tena ametuacha peke yetu muda huuAlileta wa mwisho ndo mshindi, halafu yeye haonekani tena
Ameniambia kuwa wewe unawasaidiaga wanyongeUna huruma kwa wengine hata majirani wako wa karibu wanakusifia na mmoja mmoja muda huu ameniambia
Ushindi tutampa nani muda huuHii tunayo hangaikia ushindi
Ushanichosha nasinzia muda huuUzi wenyewe ushanichosha
Paja la kuku naweza livunja kwa neno jamaniDagaa mifupa laini, lakini wa kuku wa kienyeji huvunji tena hasa paja
Alileta mada ya wamwisho ndo mshindi kwenye huu uzi tunaochati muda huuMada ipi alileta
Muda huu natamani kuzima dataUshanichosha nasinzia muda huu
Muda huu tusitishe basi uzi tupumzike jamaniAlileta mada ya wamwisho ndo mshindi kwenye huu uzi tunaochati muda huu