supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Zawadi nzuri ni kumthamini kwa kipindi chote kwa hali mbaya na nzuri kama vile alivyotulea katika hali zote tangu watotoHali ikiwa nzuri lazma nimpe mama zawadi
Zawadi nzuri ni kumthamini kwa kipindi chote kwa hali mbaya na nzuri kama vile alivyotulea katika hali zote tangu watotoHali ikiwa nzuri lazma nimpe mama zawadi
Watoto ni zawadi toka kwa Mungu, na ni hazina kwa wazaziZawadi nzuri ni kumthamini kwa kipindi chote kwa hali mbaya na nzuri kama vile alivyotulea katika hali zote tangu watoto
Mafanikio yanakuja kidogo kidogo, tusimame kwenye malengo na tutekeleze kama tulivyopanga kwa msimamo bila kukata tamaaUvumilivu ndo mwanzo wa mafanikio
Kukata tamaa ni kukiri udhaifuMafanikio yanakuja kidogo kidogo, tusimame kwenye malengo na tutekeleze kama tulivyopanga kwa msimamo bila kukata tamaa
Wazazi wamepoteza gharama nyingi mpaka tulipofikia, waache wapate hasiraWatoto ni zawadi toka kwa Mungu, na ni hazina kwa wazazi
Hasira ya wazazi ni laana, usiombe wazazi wakasirikeWazazi wamepoteza gharama nyingi mpaka tulipofikia, waache wapate hasira
Hasara nyingine hazikwepekiHasira hasara
Hazikwepeki sababu ni moja ya matokeo katika biashara, lakini iwe ni changamoto na kuangalia jinsi gani ya kutatua hiyo hasara kwa mfumo mwengineHasara nyingine hazikwepeki
Wazazi wakasirike kwa faida ya mtoto lakini bado tunang'ang'ania ubishiHasira ya wazazi ni laana, usiombe wazazi wakasirike
Udhaifu wa vijana ni kupishana na kijana mtanashati au mschana mremboKukata tamaa ni kukiri udhaifu
Mwengine simtamaniHazikwepeki sababu ni moja ya matokeo katika biashara, lakini iwe ni changamoto na kuangalia jinsi gani ya kutatua hiyo hasara kwa mfumo mwengine
Ubishi ndo utatuangamizaWazazi wakasirike kwa faida ya mtoto lakini bado tunang'ang'ania ubishi
Inakufa kidogo kidogo huku unaona, wakati mwingine unaweza kujaribu aina nyingine ya fursaMwengine akipata hasara na biashara inakufa
Msichana mrembo alizamisha meliUdhaifu wa vijana ni kupishana na kijana mtanashati au mschana mrembo
Yoyote hata bae wako??Simtamani mtu yoyoye