supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Kulia labda wakati wa msibaNalia nikipigwa tu tofauti na hapo siwezi kulia
Kulia labda wakati wa msibaNalia nikipigwa tu tofauti na hapo siwezi kulia
Kikomo cha sherehe mwishoni watu wapewe chochoteMsaada uwe na kikomo
Kikomo ni mwishoMsaada uwe na kikomo
Kawaida yangu kulala mapemaMsaada wangu utakuwepo kama kawaida
Chochote watapewa kama wamebeba zawadiKikomo cha sherehe mwishoni watu wapewe chochote
![]()
Umefika kwa kuwa maovu yanaongezekaMwisho wa dunia umefika
Zawadi ni kipimo cha upendoChochote watapewa kama wamebeba zawadi
Umefika wakati wa kumrudia Mungu muumba wa mbingu na ardhiMwisho wa dunia umefika
Upendo ni zawadi ya pekeeZawadi ni kipimo cha upendo
Mapema wahi kupumzisha akili ili upate ufanisi na ubunifu wa kutosha keshoKawaida yangu kulala mapema
Ardhi imepoteza rutubaUmefika wakati wa kumrudia Mungu muumba wa mbingu na ardhi
Njema tu ikiwa huna maradhiZawadi niipendayo ni afya njema tu
Kesho yangu anaijua AllahMapema wahi kupumzisha akili ili upate ufanisi na ubunifu wa kutosha kesho
Pekee mwenye upendo kwako ni mama anaekuwa upande wako kwa kila haliUpendo ni zawadi ya pekee
Hali ikiwa nzuri lazma nimpe mama zawadiPekee mwenye upendo kwako ni mama anaekuwa upande wako kwa kila hali
Maradhi na uzima, kupata na kukosa yote ni maisha, mambo mazuri yanakuja tuwe na uvumilivuNjema tu ikiwa huna maradhi
Uvumilivu ndo mwanzo wa mafanikioMaradhi na uzima, kupata na kukosa yote ni maisha, mambo mazuri yanakuja tuwe na uvumilivu