Aishah2016
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 2,225
- 2,482
Ijumaa KareemLEO Ni ijumaa
Ijumaa KareemLEO Ni ijumaa
Akili zetu zinatutosha wenyeweMama anavumilia mengi sana mpaka tumekuwa wakubwa na akili
Bwana unatudanganya sana mpaka unatuvunja mbavuUongo ndo una changamsha genge bwana
Wenyewe wamekaa pembeni wanawaangalia tu mnavyosema, zikipigwa ngumi mimi nitakuwa refaAkili zetu zinatutosha wenyewe
Refa badala ukaamueWenyewe wamekaa pembeni wanawaangali tu mnavyosema, zikipigwa ngumi mimi nitakuwa refa
Ukaamue vipi, watu tutakosa uhondo wa kuangaliaRefa badala ukaamue
Je upo tayari kuingia ulingoni na magongo na maweUkaamue ukipigwa wewe je
Au upigwe na wwMawe ya kokoto au
Refa tena jamani, hutatutetea kwa hiyoWenyewe wamekaa pembeni wanawaangalia tu mnavyosema, zikipigwa ngumi mimi nitakuwa refa
Utajisikiaje wakati mie naliaWew ukipigwa utajisikiaje?
Ninayopenda mimi ni kumsaidia mtu wakati anahitaji msaadaHiyo hiyo ndo ninayopenda
Msaada wangu utakuwepo kama kawaidaNinayopenda mimi ni kumsaidia mtu wakati anahitaji msaada