Aishah2016
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 2,225
- 2,482
Asili yetu ni weusi japo Kuna weupeNatural ndo yangu asili
Asili yetu ni weusi japo Kuna weupeNatural ndo yangu asili
Asili ya mtu haipotei kama ulikuwa black ukajichubua na kuwa mweupe, basi mtoto utakae mzaa usitegemee kuwa mweupeNatural ndo yangu asili
Kujichubua nako kuna madharaNatural skin iko poa zaidi kuliko kujichubua
Weupe ni wachache ila wengi wamejichubuaAsili yetu ni weusi japo Kuna weupe
Hizi mbichi sizitakMweupe kila mtu siku hizi
Siku hizi mama akiwa mweupe sana halafu mwanae ni black eti anaona aibu kumtambulisha mwanae kwa watuMweupe kila mtu siku hizi
Weupe ungekuwa dili ubuyu usingepakwa rangiAsili yetu ni weusi japo Kuna weupe
.Mweupe kama na yeye atajichubua kama mamaAsili ya mtu haipotei kama ulikuwa black ukajichubua na kuwa mweupe, basi mtoto utakae mzaa usitegemee kuwa mweupe
Sizitaki stori za uongo uongoHizi mbichi sizitak
Mama ni mamaMweupe kama na yeye atajichubua kama mama
Mama anavumilia mengi sana mpaka tumekuwa wakubwa na akiliMweupe kama na yeye atajichubua kama mama
Leo Kuna watu wanaona weupe ni deal bado kama sopeWeupe ungekuwa dili ubuyu usingepakwa rangi.
Wazo la leo
au takadiniUongo ndo una changamsha genge bwanaSizitaki stori za uongo uongo
Maarifa kila mtu anayo, kila mtu anapenda mafanikioAkili nyingi huondoa maarifa