Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Mtanzania ndiye binadamu mnafiki kuliko binadamu wote duniani .......unajua kwann mwaka jana siku kama ya leo sherehe za uhuru zilifutwa si tukaambiwa tusherekee kwa kufanya usafi nchi nzima na mapesa ambayo yangetumika kwenye sherehe hizo yajenge barabara watanzania wakashangilia kweli.....leo tena sherehe Zipo hazijafutwa ili kubana matumizi mtanzania huyu amefurahi na kushangilia .......nilidhani leo zinafutwa then pesa ipelekwe kwa waathirika wa tetemeko kule KAGERA...mwaka jana walishangilia mwaka wameshangilia hawaeleweki wapo upande gani..........MTANZANIA NDIYE BINADAMU MNAFIKI KULIKO BINADAMU WOTE DUNIA siku tukiacha unafiki Tanzania itakombolewa Goliath Mwacharandula Mfalamagoha
Hii post imepotea njia huku ama
 
Back
Top Bottom