Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Gani hiyo tena?Yachoka ni kiswahili gani
Gani hiyo tena?Yachoka ni kiswahili gani
Mbuyu ni mti mpana sanaUrafiki huanza kama mchicha na baadae hukua kama mbuyu
Sana huwez ukumbatiaMbuyu ni mti mpana sana
Wewe kuwa na amani marafiki umepata, enjoy kupiga stori na kuchatUrafiki ni mzuri kama ukimpata mtu mwenye nia nzuri na wewe
Kuchat huwa kunaondoa mawazoWewe kuwa na amani marafiki umepata, enjoy kupiga stori na kuchat
Huwezi ukumbatia ila waweza panda juuSana huwez ukumbatia
Kumbatia mti mdogo japo hata mbuyu ulianza kama mchichaSana huwez ukumbatia
Mawazo ni mabaya snKuchat huwa kunaondoa mawazo
Mchicha mtamu kama mnavu, mchunga, kisamvu na tembeleSana tena huanza Kama mchicha
Wazuri usoni ila moyoni ndo sijuiWew uliwahi pata marafiki wazuri
Mawazo yakizidi unaweza kuumwa, kupata kitambi na pia kutoka chunusi usoniKuchat huwa kunaondoa mawazo
Mchicha ni mboga tamu ikichanganywa na nyamaKumbatia mti mdogo japo hata mbuyu ulianza kama mchicha
Tembele likiwekwa ndimu linapendezaMchicha mtamu kama mnavu, mchunga, kisamvu na tembele
Sana kama ukiwaza halafu ukakosa ufumbuziMawazo ni mabaya sn
Nyama ya kuku ndio nyama tamu kuliko zote duniani inavyosemekanaMchicha ni mboga tamu ikichanganywa na nyama