Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Wakulima hawapewi kipaumbeleHasara inawakatisha tamaa wakulima
Wakulima hawapewi kipaumbeleHasara inawakatisha tamaa wakulima
Wanasiasa wamekuwa sio waaminifuKipaumbele wanapewa wanasiasa
Mimi mwenyewe nahisi kukata tamaa ya kushindaMshindi ni mimi
Peke yao sababu matokeo ya kazi zao tunayaona kila mwakaWaaminifu ni waalimu peke yao
Kwa hamu kwa sababu umejiandaa kiroho na kiakiliMwaka 2017 nausubiri kwa hamu.
Yameenda vizuri ila hela ndo hamnaMwaka huu mambo yameend vizuri
Yaani anajenga na kuimarisha bara lakini amewasahau wa visiwani ZanzibarTulibweteka sana yaani
Zanzibar wana raisi wao atawasaidiaYaani anajenga na kuimarisha bara lakini amewasahau wa visiwani Zanzibar
Ajabu ni pale watu wanapochati mpk wanamsahau munguKule kwetu kuna watu wana mambo ya ajabu
Ajabu ya watoto wazuri wana sura na maumbo mazuri sana wanavutiaKule kwetu kuna watu wana mambo ya ajabu